Friday, August 31, 2012

Amkaa-Chaba ft. Da Hustler (Prod. Daz Naledge)

all the way from 009 wakilisha..Chaba steps in the hood again with a brand new hot stuf featuring Ibra Da Hustler..Being produced by Daz Naledge at Watengwa Recs  Mc Chaba is droping his mixtape this summer
 

AMKAA!

Amkaa-Chaba ft. Da Hustler (Prod. Daz Naledge)

ARUSHA POETRY CLUB will soon be in town
ARUSHA POETRY CLUB will soon be in town...let us meet at Arusha Masai Cafe this saturday for the launching evening...I welcome all y'all..
 — 

Charlotte Hill O'Neal  

Don't y'all miss this!!! Be in on the launch of what is sure to be an ever growing event!! This is your chance to show off your talents and share your skills!! Be there are be square...and I KNOW you don't want to be square, right!!! Karibuni wote!!

Edmond Azaza  

Come with a fellow.

Tuesday, August 28, 2012

ViVi & Complex TRIBUTE In Arusha (SUA Episode 7)

Light em Candles for Our Beloved
Vivian Tillya
Graffit Designed By Pacha The Great On wall by Cympoo from Unga ltd 
Lets Get Started
Mama C...We Love U Mama
For HiP HOP...TZ Stand Up
Dcee wa there banaa
Pass the Mic around
Monica decide to Do like Vivian Tillya by giving the crowd the Vibe of UMUHIMU nyimbo ya VIVI
Cympoo doin ze Graffiti for Vivi
Brother Edmond na Comrades
Thanks to Mama C for bringing
Drawing Colours for artists to show what they can create nice graffit for Vivian and Complex(Rest in UHURU)
Dj Daz Naledge

Tamaduni wear ....On Sale Now....


call +255 714 270 799 or  +255 716 057 537
                                     

Monday, August 27, 2012

Nafasi Art Space was Hot ile mbaya...

Events Planner - Ester Lily with Saitiot


Amani n MaigeHosting the Event

The Best Friends Dancers

Youth Empowerment Project membersThe Best Friends Dancers

Brother
I n I Kumkichwa n Inspirenation Page Writer Miage Cyprian

Saturday, August 25, 2012

Nakala za Makalla Vol 2 Freedownload

Breaking News from SUA ---BACK TO THE SUADont Miss this Event banaaaa..itakua KumSUA ile mbayaaaa...tuwakumbuke Vivian Tillya na Complex..tutaisoma Barua Kwa Mpendwa Vivian..Tutazigonga Ngoma zao..bila kusahau Tutawasha Mishumaa ili kuwaenzi.. 
                                     
ni Palepale:
KIJENGE YA JUU MWISHO WA DALADALA
MKABALA NA FUNDI SEREMALA...kiingilio ni Buuuure
########BACK TO THE SUA#########
****teamSua******
NB: SHARE or TAG THIS

Wednesday, August 22, 2012

X PLASTAZ member KAMAA RUTTA speaking about X PLASTAZ GRASSROOTS a cre...
Kamaa was one of the illiest hip hop mc whom was raised under his brothers inspiration whom are X plastaz (HIP HOP CREW FROM ARUSHA) was representing the XP grassroots crew known as BAD TITLE....they focus to release their new album which will have more than 12 songs as an approval that they are lyrically jam packed... more in www.arushatz.blogspot.com

Letter to Vivian Tillya

Vivian Tillya

Mpendwa Vivi,

Ni miaka saba sasa tangu uondoke na tunakukumbuka sana michano yako na mambo mengine mengi....(jalini ubinadamu msifanye mavitu kama sanamu.....). Natumai umeonana na Faza Nelly, DOG Nacko.Papaa, Mlost na Pacha Izzy na wengine wengi waliokuja huko.


Dhumuni la barua hii ni kukusalimu na kukujulisha yanayoendelea Arusha. Mengi yametokea ila ya Muhimu kukufahamisha kuhusu harakati za Muziki hapa Arusha. Imagine eti siku hizi Metropole, Ricks,Mawingu na Crystal club hazipo tena. Machizi wengi wamehamia Dar es salaam (just like you...) ila wao wamebadilisha hadi majina wanakuja Arusha kufanya show na kusepaz. Machalii wapya kibao kwenye Game na wanakalisha usipime wengine wako mbele na wanafanya harakati zilezile Kzz wa X plastaz hajarudi bado tangu aende na anatoa Mixtape moja kali sana hivi karibuni, Chindo pia anawakilisha akiwa huko si unajua tena Jamaa alivyo mbishi. Jcb na Spark bado ni hardcore(...wana makid asee).. maprodyuza wengi wapya na Studio nyingi. WATENGWA kuna Daz Naledge, DX amekuja na Noizmeka, hata Ngalimi siku izi kuna Studio asee KZ kaja na KAZAWAZA. Grandmaster siku izi wanapiga mpaka VIDEO bana...zipo mingi siwez hata kuzitaja zote.


Harakati zote zile za rap sasa hivi zimeamia Kijenge ya Juu (S.U.A Free-Stage//
http://www.facebook.com/SuaTanzania). Watu kibao wanakutana na kupiga freestyle, michano na magrafiit kibao. Si unakumbuka vile ulikua ukikasirika kuona hakuna mademu kwenye HIPHOP concert na ukawa unaamua kuonyesha uwezo wako dah! ulikua unakalisha asee (.....sa nani wakuongoza safari wote tunaujua usukani.......siwaelewi! )
Juzi si kuna madem wakaibuka SUA bana asee tulikukumbuka sana laiti ungekuwepo ungefarijika kinyama.

Kuna redio stesheni mingi niaje! karibu kila mtaa na maclub za kutosha huko town usiku kama tu mchana. ... kuna masista Dread wengi peace kama wewe.... inapendeza


Arif mambo kibao yamebadilika... kutoka TAPE na disc man siku izi kuna mavitu yanaitwa I-pod, I phone na ma-I pad kitu touch screen maamaaa si unajua Swagga tena...(sorry i know you now know about Apples kama sio matunda tena nikikuambia mambo ya Blackberry si ndo utadata kabisa...hahahahaha!!)


I will tell you about it next time sahivi naenda misele so kama vipi mpe hi Complex (Mwambie alivyosepa tu BTOWN CLAN wakaNYAMAZA ooh SH**T MIKOSI WAMENYAMAZA.....), James Dandu, Drob, Steve2k, produza Roy na wengine mlioko nao huko.


Jumapili tarehe 26 SUA itakua ni spesho kwako na Complex wa2 watapiga mistari yenu..oooyyyy! .Nitakujulisha zaidi next time.


Wako Wapendwa

Katika HIP HOP
###teamSUA###

Monday, August 13, 2012

Facebook Comments about BA-BA-BACK TO THE SUA 26th August 2012

Back to SUA this August 26th 2012@ Kijenge Juu,Arusha,Tz
                                              Facebook comments
 • Dinner Shafii Ni mzukha' aaah kijenge juu mwisho wa hice mtaani kwe2 yan ni full vipaji aisee!
    
 • Assey John E yeeeeee ni fulu ile laaana
   
 • Derick Martin ayaaa bhaaanaa naona ni saaaana!!
   
 •  
 • Hamad Jacob ooi! ooi! ngastuka komaen na ili gem kutafuta hiz simbi
 • Ibrahim Kilasa Kweli Arriff angu,nalio dongo jekundu,huna haja ya kuhangaika kwa shoe shine.
   
 • K-z Getanokaza aroundthacorner ...........................S.U.A worship@kz
   
 • Abrah Mulo Tha BigDalla Everybody rise up for the movement!!
  RESPECT SUA
   · 
 • Daudi Bakari bad meets evil...am waiting
   
 •  
 • Emmanuel Samwel Leo ipo@ sua
   
 • Ipyana Kasebele mzuka sana wana harakati mpango mzima support underground mcs.......k-j- juu moja.
   
 • Lau Mafuru inapendeza
 • Ipyana Kasebele hii corner mzuka sana..... the next session its a tym from wanazuoni ipd toka mzumbe university & G-SELA toka SOKOINE UNIVERSITY at MOROGORO...........TUNAMSHUKURU MUNGU, WANENU TUMEMALIZA CHUO SALAMA NDIO TUPO SAFARINI KUJA KITAA KUFANYA REVOLUTION......... ONE LOVE DAZ MADIN YANAKUJA.....
 • Chaba Thomas Hiyo ni kali sana wasee, tru hiphop spirit.
 • Abeid Kajia Thumbs up Comrades..ntakua hapo b4 the event if Jah bless i..100% support from Kumkichwa Comrades..gwara sana wasee
  usisahau kuweka maoni yako hapo chini kuhusiana na SUA

Online Jcb Makala ft. Lavosti (Prod. Daz Naledge)