Monday, December 15, 2014

SURVIVAL FOR THE FITTEST - Online Photography Exhibition 2014 #TheFotografatz 
 


 
 
 
 
 
 
            SURVIVAL FOR THE FITTEST - Online Photography Exhibition 2014 #TheFotografatz

Monday, December 1, 2014

Guumzo ni Gumzo - Sasa iko hewaniBaada ya muda mrefu wa kusubiria kwa shauku kubwa, hatimaye tovuti ya Guumzo ambayo imezinduliwa rasmi leo tarehe Moja Desemba 2014 (1/12/2014) sasa iko hewani, tovuti hiyo ambayo kwa sasa ni guumzo kwa wakazi wa Dar es salaam, imetajwa kua italeta mambo mazuri kwa wasanii na wapenzi wa muziki nchini Tanzania.


Guumzo ni nini?
Mtandao unaolinda hakimiliki za wanamuziki na kuwawezesha kupata malipo, kusambaza kazi zao na kuwafikia washabiki wao. 

Kwa maelezo zaidi tembelea  tovuti  GUUMZO