Wednesday, February 6, 2013

Matokeo Kidato Cha Nne 2012 yatapatikana Kumkichwa

            
        
       Tunapenda kuwafahamisha wadau wote wa Kumkichwa ya kwamba, kutokana na maombi na ushauri wa wadau kuhusiana na usumbufu wanaoupata wakati wa kutazama Matokeo yao.

       Matokeo ya kidato cha nne 2012 yatapatikana katika blog ya Kumkichwa ili kupunguza usumbufu utakao jitokeza siku hizo ambazo matokeo yatatangazwa. Matokeo hayo ambayo yanaweza kutangazwa tarehe hizi za karibuni yatapatikana hapa...hii inatokana na kuwa kipindi hiki mtandao wa Necta huwa na watembezi wengi hivyo huwa mzito katika kufungua Data na katika kuupata katika Search Engine....

Ni ushauri wenu na maoni yenu ndio tumeyazingatia na tunawasihi ya kwamba mtakapopata ujumbe huu, wafahamisheni na wengine, ili kuwasaidia wale watakao pata shida kuyaona matokeo yao wayapate kwa urahisi...kwa pamoja tutaweza..Kumkichwa ni Wewe!

No comments:

Post a Comment