Graduation Ceremony
Source www.ifm.ac.tz. 24th Nov. 2011
MUDA | TUKIO | MHUSIKA |
Saa 3.00 Asubuhi | Mazoezi (Rehesarsals) | Wahitimu/Msherehe Mkuu (MC) /Wakuu wa Vitivo na Idara/ Kamati ya Mahafali |
Saa 8.15 Mchana | Wahitimu kuchukua nafasi zao | Msherehe Mkuu /Kamati ya Mahafali |
Saa 8.30 Mchana | Wageni waalikwa wawe wamekaa | Msherehe Mkuu /Kamati ya Mahafali |
Saa 8.35 Mchana | Kuwasili kwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo | Mkuu wa Chuo / Menejimenti |
Saa 8.50 Mchana | Milango ya Kuingia Viwanja vya Mahafali kufungwa | Kamati ya Mahafali |
Saa 9.00 Alasiri | Kuwasili kwa Mgeni Rasmi, Waziri wa Fedha na Uchumi | Mwenyekiti wa Baraza la Chuo /Mkuu wa Chuo/ Menejimenti. |
Saa 9.05 Alasiri | Msafara wa mgeni rasmi kuelekea viwanja vya mahafali | Mgeni Rasmi/ Mwenyekiti wa Baraza la Chuo/ Mkuu wa Chuo/ Menejimenti/ Brass Band |
Saa 9.15 Alasiri | Kuundwa rasmi kwa Mahafali | Mgeni Rasmi |
Saa 9.20 Alasiri | Salamu za makaribisho na kumkaribisha Mwenyekiti wa Baraza la Chuo kutoa hotuba | Mkuu wa Chuo |
Saa 9.25 Alasiri | Hotuba ya Mwenyekiti wa Baraza la Chuo | Mwenyekiti wa Baraza la Chuo |
Saa 9.40 Alasirii | Hotuba ya Mgeni Rasmi | Naibu Waziri wa Fedha |
Saa 10.00 Jioni | Kutoa zawadi kwa waliofanya vizuri | Mgeni Rasmi |
Saa 10.20 Jioni | Kutunuku Vyeti | Mgeni Rasmi |
Saa 11.00 Jioni | Kuvunjwa rasmi kwa Mahafali ya 37 | Mgeni rasmi |
Saa 11.15 Jioni | Mwisho wa Sherehe | Msherehe Mkuu |
No comments:
Post a Comment