Saturday, April 13, 2013

UJIO MPYA WA JCB Makalla NA NGOMA YAKE MPYA




       Hatimaye Msanii wa Muziki wa Hip Hop Tanzania Jcb Makalla anatarajia kuachia ngoma yake mpya itakayokwenda kwa jina la "I DONT CARE" ambayo amewashirikisha Chaba "Baba Mkubwa" na Ben Pol akisimama kwenye Chorus vilivyo. Nyimbo hiyo ambayo itaanza kupatikana kwenye mitandao ya kijamii na pia redoni Jumatatu ya Tarehe 15.04.2013, wimbo umetengenezwa Noizmekah chini ya usimamizi wa Dx akishirikiana na J Ryder. 

       Huu utakua ni ujio mpya kabisa wa Jcb Makalla katika kuitambulisha Album yake ya Nakala za Makala Vol. II. kama nilivyomnukuu..

"Ok ok...next wiki j3 natoka upya kabisa wana...narudi na ngoma mpya kabisaaaaaaa, hebu tuombe mungu j3 ifike haraka......by Jcb Makalla

Je unataka kujua ni ujio gani huo?... usiache kupita pande izi Jumatatu....?  pitia page Yetu ya Facebook Kumkichwa kwa updates, pia like Facebook Page ya Jcb.. Bless

No comments:

Post a Comment