Wednesday, March 16, 2011

"Ni WAKATi WA PiCHA NA KUONESHA ZAWADi TULiZONAZO"

Kumkichwa now is a freeblog-Abeid Kajia



Ni fursa kwa wana kumkichwa kuonesha ZAWADi zao, kama wewe unajijua uko na ZAWADi basi usiifiche nitupie kwenye email yangu ya kumkichwa@gmail.com au kajiabeid@gmail .com.

Ni nafasi kwako kuitambua na kuitumia vizuri ZAWADi yako katika blog yetu ya kumkichwa. Kama wewe pia ni mpiga picha mzuri au una matangazo wewe yatupie watu wa kumkichwe.

 Kama una kitu ambacho unahisi ni ZAWADi yako halafu unakosa mahali pakuionesha kwa wanajamii, kumkichwa inakupa ufunguzi kwa kuionesha kwa wana jamii wako.

Nafasi huwa inakuja mara moja katika maisha, na nafasi ya kuonesha ZAWADi yako ndio hii. Kumbuka KUMKiCHWA Ni WEWE na ndio maana tunaanza na wewe.

No comments:

Post a Comment