Thursday, August 2, 2012

Mahojiano na Ustaadh Said Haroun kuhusiana na Ujumbe Mfupi(Msg)

Lengo la makala hii ni kuwajuaza ukweli wale watakaopenda kujua ukweli...kama lengo la kumkichwa lilivyo ni (a,e,i,o,u) kuAmsha, kuElimisha, kuImarisha, kuOkoa na kuUnganisha...makala hii isihusishwe na itikadi zozote kwani Kumkichwa ni yawanajamii katika kuelimisha...



Mahojiano haya yamefanyika Asubuhi ya leo ya tarehe 2/08/2012-Alhamis...kati ya Abeid Kajia (Kumkichwa) Na Said Haroun

Kama ukiona ujumbe huu unamanufaa...basi usisite kuwajulisha ndugu jamaa na marafiki zako...utakua umefanya jambo la maana sana kuwaelimisha...kwa maoni, ujumbe na ushauri usisite kutuandikia hapo chini sehemu ya maoni...kumbuka Kumkichwa ni wewe!

No comments:

Post a Comment