Thursday, August 2, 2012

Taarifa kutoka kwa Chalii Mtoto Wa Bibi kuhusiana na Tamasha La MJ Radio


Ngoja niwaondoe utata wakazi wa Arusha au vp! kikosi hatari cha Jambo Squad ambacho unakiona hapo kwenye picture hatutokuwepo wala hatutofanya show cku ya tarehe 19 Sheikh Amri Abeid kwenye tamasha la Mambo Jambo Radio kutokana na wanataka kutulipa hela ambayo inafaa kununulia nyanya Kilombero..japo tumekataa lakini kuna baadhi ya watangazaji wao wanatutangaza bado wanajidai makauzu....sasa maraiya wetu mcpotuona cku hiyo msilalame kwani sisi hatotoonekana kabisa[Music 4 lyf cyo kuuza sura]  by Chalii Mtoto Wa Bibi

No comments:

Post a Comment