Tuesday, September 18, 2012

Fahamu Hatua Nane (8) za kuweka Facebook Page Kwenye Blog

Like us on Facebook for the updates and For more Tutorials

Huu ndio muonekano wa Facebook Page kwenye blog
Ingia kwenye Account yako ya facebook  Home au kwenye Timeline yako...kisha Nenda mwisho wa home chini au timeline kisha tafuta sehemu imeandikwa Developers au bonyeza hilo neno hapo..

hatua inayofuata ni ingia Bulid For Websites

Kisha tafuta neno Social Plugin  kisha ingia

Like us on Facebook for the updates and For more Tutorials

Tafuta sehemu imeandikwa Like Box  au bonyeza hilo neno


ukishafika kwenye Like box kinachofata ni badili URL yao kwa kuweka yako au username mfano(www.facebook.com/Qumkichwa) yako ya Facebook Page..tazama mfano
Like us on Facebook for the updates and For more Tutorials

hatua ya kwanza ni weka Url ya Facebook Page kwenye sehemu iliyoandikwa Facebook Page URL hatua ya pili ni kubadilisha upana/Width ila usizidi 292pxl kwa mfano wa fb...hatua ya tatu ni kubadilisha urefu/Height wowote unaotaka...hatua ya nne kubadilihsa rangi ya like box ifananae na blog au website yako..hatua ya tano ni kuweka ama kuondoa picha za watu kama hutaki zionekane..hatua ya sita kuweka ama  kuondoa post au stream kama hutaki zionekane...hatua ya saba kuweka ama kuondoa kichwa cha habari cha Like us on facebook hatua ya nane na ya mwisho ni Kugenerate Codes ambazo ndizo zitakazo tumika kutengeneza Page hiyo kwa blog au website




Like us on Facebook for the updates and For more Tutorials

Ukisha pata hizo Codes..kinachofata ingia kwa  blog au website    kisha zi add kwa gadget

ingia kwenye blog au website



Ukisha zi add sasa tazama muonekano mpya wa  blog au website yako..Ahsante


Kwa maoni maswali na ushauri usisahau kucomment hapo chini au ni check kwa email ya kajiabeid@gmail.com...Kumkichwa utaweza..



1 comment: