Wednesday, September 5, 2012

Coming Soon.....Dunia Rangi Rangile...via Kumkichwa

Dunia Rangi Rangile...coming soon
Hii ni Hadithi kali yenye uhalisia wa maisha ya kitanzania...ya kijana aliyeamua kuKumkichwa ili afanikiwe kimaisha...kijana aliyetambua uwezo wake kama kijana na muhimu wake kwa jamii yake....Katika hadithi hii utajifunza mengi kama kijana, pia kama mzazi au mlezi utajifunza pia namna ya kuishi vijana wa rika lenye kuhitaji mabadiliko...nini kifanyike ili wafikie malengo yao?je unataka uwe nani ukiwa mkubwa?, je uko tayari kufanya kila unachoambiwa na wazazi/walezi wako?...amka banaa...funguka kaka..mwamshe na dada mwambie "Dunia Rangi Rangile"


....kuanzia Jumatatu ya Tarehe 10/09/2012... na kila Jumatatu....

                          Usikoseeeee...Dunia Rangi Rangile..... 

                              Kumbuka Kumkichwa ni wewe!

No comments:

Post a Comment