Tuesday, September 11, 2012

ANGALIZO: Orijino Komedi..Nyimbo ya Fid Q "Danger haja Copy na Kupaste"by Choba




CHOFACO RECORDS OWNS FULL COPYRIGHT OF THE SONG DANGER BY FIDQ . PRODUCER BY CHOBARAY.
NYIMBO ILIREKODIWA NOVEMBER, 2008, JIULIZEE NYIMBO ILITOKA MWAKA GANI?MZIKI WA USA SIO SAWA NA MZIKI WA BONGO, KUNATOFAUTI KATI YA MIXTAPE SONGS AND ALBUM SONGS ALSO LEASED TRACKS,NON EXCLUSIVE TRACKS AND EXCLUSIVE TRACKS,KABLA ORIJINO KOMEDI. KUKURUPUKA NA KUONGEA/KUFANYA VIPINDI VYAO LAZIMA MJUE COPYRIGHTS ZA KAZI ZA WATU, HESHIMA NA BUSARA, KUULIZA NA KUELIMISHWA SI UJINGA.
— with Fareed Kubanda  
 Facebook Comments

    • OleShumpai Salim I was so surprised when I saw it was Ngosha their topic on copying and pasting part.Much respect to you brother.

    • Esmaeel Kenadid Hahahahaaaaa

    • Ben Elisha Kolowa Ujinga ni mjukuu wa uoga yule alomzaa chuki

      • Burton Jorde Mwakalenge Orijino komedi wanajua kuachia pasipo uchunguzi, hata leo usishangae wakasema Tanzania tumeigaa wimbo wa taifa wa kwa madiba wakati, tumepata uhuru kabla yao.
      • Laurean Cholobi i thnk kwenye segment yao ya kukopi na kupest wangekua wanafanya tafiti hata kidogo before hujachafua watu. ngosha mpaka hapo ulipofikia ushakutana na vikwazo vingapi? fans wanajua..
      • Furaha Kelly Pole sana bro, coz ajali humbeba hadi mwenye tahadhari. Ryhems zako zimekwenda shule na zao ziliogopa umande bhana. Thanks.
      • Chris Mwai wasamehewe buree,kama msanii anataka kumharibia msanii....si kuishwa huko...
      • Kindamba Namlia It was comedy,let it be so. Joti'z aim was nothing but to make us laugh. Watu kama captain john komba washazoea hii mambo.
      • Basalt Lamer Asante mbaba pa1 sana
      • Làmos Hárd Róck kwangu mim haijalish kama ume pest or hauja pest watajua wao na comedy zao
      • Joachim Mtefu-Jost Hao wenyewe wanacopy na kupest vichekesho vya nje na ushahidi ninao, tatizo lao wameshakuwa feki ka kama dawa kukuza makalio za kichina.
      • Mwanaharakati Kenloo waache waongee walicho sikia, c 2naongea 2lichoona

 Chofacorecords II click here 

No comments:

Post a Comment