Wednesday, October 17, 2012

Popular Tanzania Logos With Hidden Meanings Part One

tazama T na njano ya Brain..imekaa juu a


Tazama juu ya M kuna pembe..tazama izo pembe kwa makini..unaona picha gani...haya tazama weusi wa M umekaa kama nini ..kumkichwa ni wewe



tazama U ina uma na tazama O ina glass na sahani..misosiii


tazama Hao Dolfin walivyoungana...kumechora alama ya Love..pia sehemu hiyo ndio wanapojamiiana..


tazma Alama ya thumb kwa Logo hii...
hapa sasa ndio wengi wenu mnashindwa kunielewa..embu tazama kwa makini..kwenye nyekendu ifanye ni Tshrt  na blue fanya ni suruali na nyeupe ni sehemu ya tumbo..je umeona nini...


Iyo darubini inazoom Tanzania...itazame  Tanzania kwa haraka
Itazame Hii Logo ya Rada...unaona nini?

No comments:

Post a Comment