Thursday, October 18, 2012

Historia ambayo haitafutika Kwenye Hip Hop Tanzania...BET Cypher Krsone, wale, nipseyhustle - da cypher prt 2



Hatua aliyoifikia Gsan Rutta wa X plasters ni moja kati ya hatua ambayo Msanii yoyote wa Hip Hop Tanzania anatamani angeifikia..ila kwa nilichojifunza kwa  Gsan Rutta kuwa ni Mzalendo...kwani amekaa sana nje ya Tanzania lakini aliamua kuchana kwa Kiswahili..hiki kitendo kimenigusa sana..hii ndio Swahili Hip Hop..ila mi hupenda kuiita Maasai Hip Hop...Hongera sana Brother  Gsan Rutta. Historia uliyoiweka kwenye Hip Hop Haitafutika...Umedhihirisha ya kua Kumkichwa ni wewe! bless i

No comments:

Post a Comment