From
Left; Daz Knowledge from S.U.A Arusha, IDEA AFRICA's Augustine
(Kastrow) Namfua and K-Vant Gin Marketing Manager Mr. Goodluck Kway at
Jambo Festival's Press Conference held at The Arusha Hotel on 15th
October
S.U.A kushirikiana na Jambo Festival wanakuletea mashindano ya Freestyle na Djz katika uwanja wa wazi pale AICC club....
Ni tukio la siku tano kuanzia 22 October 2012 na Fainali itakua 28 October 2012.....
Kiingilio ni Bure kama ilivyo utamaduni wa SUA.Graffit, Dj, Mc, Edutain na Freestyle battle kwa siku tano Mfululizo
Tena Jioni Jioni Flani....
Na hii Pia Ukose!! Utaniabisha Tafadhali Usisubiri Kusimuliwa
No comments:
Post a Comment